chew

vt vi 1 ~ (up) tafuna. ~ing gum chingamu. bite off more than one can ~ jaribu kuliko uwezo. 2 ~ over; ~ (up) on fikiria, tafakari. ~ the rag (dated sl) jadili mambo (hasa ya magomvi au tofauti za zamani); lalamika. ~ the cud cheua. ~ out (colloq) karipia. n 1 kutafuna. 2 kipande cha tumbaku. ~ed up adj enye wasiwasi sana.