chest

n 1 kasha, sanduku (la kuhifadhia nguo, fedha, madawa n.k.). ~ of drawers n almari. medicine ~ n sanduku la madawa. 2 kifua; (of animals) kidari. ~ complaint n maumivu ya kifua. get something off one's ~ toa dukuduku. keep/hold one's cards close to one's ~ -wa msiri, bania siri.