chequer

n 1 ruwaza yenye miraba ya rangi tofauti. 2 ~ed cloth n nguo yenye mirabaraba. vt tia/andika mirabaraba kwa rangi tofauti. ~ed career n maisha ya kupanda na kushuka.