cheese

cheese

1 n jibini, chizi. 2 (sl) picha ya mwanamke mzuri. cheesecloth n shashi. cheesemonger n mchuuza jibini. ~ paring n ubahili uliokithiri. cheesy adj -a jibini, -enye jibini; kama jibini; (sl) duni; hafifu. ~ cake n keki ya jibini; (sl) picha ya umbile la kiwiliwili cha mwanamke.

cheese

2 vt (sl) ~off chosha, udhi sana. say ~ cheka.