cheek

n 1 shavu. ~ by jowl iliokaribiana; -naoshirikiana. turn the other ~ -tolipiza kisasi. cheekbone n kituguta, kitefute. 2 tako. 3 (impudence) usununu, ufidhuli, usafihi. cheeky adj -enye kiburi, fidhuli, safihi. ~ly adv kitefute. vt safihi, fanyia ufidhuli.