check
check
1 vt 1 cheki, pima usahihi, peleleza, angalia kwa makini. 2 zuia, simamisha. 3 ~ something off tia alama ya kuonyesha usahihi, usawa. ~ something up. ~ up on something kagua au linganisha kupata usahihi. ~ up on somebody chunguza usahihi wa sifa/madai ya mtu. 4 (US) weka, hifadhi (mzigo, bahasha, koti) chini ya ulinzi. 5 ~ in jiandikishe (hotelini, kazini) kwamba umefika. 6 ~out ondoka, aga; toa (kwa mfano kitabu maktabani). ~ over kagua, angalia. checker n 1 kitu/mtu anayecheki. 2 mtu anayepokea mizigo n.k. 3 mpokea hela (dukani n.k.). 4 (US) (pl) dama. ~er-board n (US) bao la mchezo wa dama au sataranji. n 1 zuio, kizuio; udhibiti. hold somebody in ~ zuia. ~s and balances taratibu za vyombo vya dola kudhibitiana ili kuzuia matumizi mabaya ya madaraka. 2 usahihi, kupima, kusahihisha; kuhakiki. ~ list n orodha ya kupimia/kukagulia. checkpoint n kituo cha ukaguzi wa magari/mashindano n.k. ~ up n (med) kupimwa. 3 tikiti, cheti, risiti, stakabadhi ya uthibitisho wa kuwekea kitu. checkroom n chumba cha mizigo. 4 hundi. bad ~ n hundi batili. ~ book n kitabu cha hundi. 5 (chess) ~ mate n kushindwa kabisa. vt shinda (fig) zuia na shinda.check
2 n mirabamiraba; kitambaa cha kunguru adj -a milia, -a miraba.