chase

chase

1 vt,vi 1 fukuza, kimbiza. give ~ (to) kimbilia, saka, fuata, kimbiza, fukuza. 2 ~ away/off fukuza. 3 ~down/up jaribu kupata. 4 ~ about kimbiakimbia (colloq) n msako. goon a wild goose ~ tafuta kitu bure (bila tumaini la kufaulu), ufukuzaji.chaser n 1 msakaji. woman ~r n mfukuzia mabibi. 2 farasi mruka viunzi.

chase

2 n 1 fremu, nakshi, mfuo. 2 (of gun) kasiba. vt tia temsi/nakshi.