charter

n 1 hati; mkataba; idhini. ~ member n mwanachama mwanzilishi the Great C ~ (Magna Carta) Hati ya Haki za Binadamu. ~ed accountant n (GB) mhasibu msajiliwa. ~ed bank n benki yenye idhini. 2 kukodi meli, ndege n.k.. vt kodi chombo; idhinisha. charter-party n (comm) mapatano ya kukodi (chombo, meli n.k.).