chart

n 1 ramani (inayotumiwa na mabaharia), chati. 2 chati (yenye michoro, jedwali n.k.). vt 1 chora ramani; onyesha katika chati. 2 chunguza hali ya safari baharini. 3 sawiri mawazo.