charlock

n (bio) mharadali mwitu. charm n 1 ucheshi, uzuri, haiba, mvuto. 2 hirizi, talasimu, kago, fingo. vt 1 (attract) vuta kwa uzuri/mapenzi n.k.; sisimua, furahisha, pendeza kwa wema. I'm ~ed to see you! nimefurahi sana kukuona. 2 roga, fanyia uchawi. ~er n 1 mchawi. 2 mtu mcheshi, mtu mwenye haiba. snake ~er n mcheza na nyoka. ~ing adj -cheshi, changamfu. ~ingly adv.