charity

n 1 sadaka. live on ~ ishi kwa sadaka. a ~ ball densi la kuchangisha fedha kusaidia maskini. ~ walk n matembezi ya hisani (ya kuchangia fedha). 2 wema, fadhila, hisani, huruma. out of ~ kwa moyo, kwa wema. 3 shirika au chama cha kusaidia wenye shida. ~ begins at home (prov) wema wa mtu huanza kwao. charitable adj 1 -enye huruma, -enye fadhila, -enye hisani. 2 (of institutions etc.) -a kutoa msaada. charitably adv.