charge

2 n 1 shtaka bring a ~ fungulia shtaka, shtaki. 2 shambulio the soldiers made a sudden ~ askari walifanya shambulio la ghafla. 3 bei, malipo. ~ account n akaunti ya malipo. 4 mshindilio, fataki, kiasi cha baruti au cha umeme katika chombo cha kuwekea nguvu za umeme; marisau. 5 wajibu, madaraka. put somebody/be in ~ (of) kabidhi pesa madaraka. take ~ twaa madaraka. 6 maagizo, maelekezo. 7 take/give somebody in ~ peleka mtu polisi/ shtaki.