chaperon

n mchunga/mtunza mwari, somo. vt fuatana na msichana mahali asiporuhusiwa kwenda peke yake.