chapel

n 1 kanisa dogo. 2 (arch) kanisa la wasio Waanglikana au Wakatoliki; ibada katika kanisa hilo. 3 tawi la chama cha wafanyakazi wapiga chapa. chapelgoer n.