channel

n 1 mlangobahari. 2 mlizamu, mfereji, mfumbi. 3 njia (ambayo kwayo habari, mashauri n.k. yaweza kupitia) follow the proper ~s fuata ngazi (zilizowekwa). 4 mkanda. 5 (radio, TV) idhaa; bendi. vt 1 chimbua/elekeza mfereji. 2 (fig) elekeza he ~ed his abilities into business alielekeza uwezo wake kwenye biashara.