change

vt,vi 1 badili; badilisha; geuza; geuka. ~ step badili mwendo, badili hatua ~ one's mind ghairi. the property ~d hands mali iliuzwa kwa mwingine. 2 vunja, chenji ~ a 100 shillings note vunja noti ya shilingi mia moja. 3 ~ up/down badili gia. ~into geuka. n 1 mageuzi, mabadiliko; mabadilisho; badiliko ~ of administration mabadiliko ya utawala. 2 kitu cha lazima ili kugeuza/kubadili; kitu cha kubadilisha take a ~ of clothes with you chukua nguo za kubadili for a ~ kwa kubadilisha hali/mambo get no ~ out of (somebody) (colloq) kutopata msaada wowote. 3 (coins) senti, kichele; (fig) get ~ out of somebody -mlipia/lipiza kisasi. 4 baki no ~ given hakuna baki/chenji. changeable adj -a kigeugeu, -a kuweza kubadilika badilika, badilifu; -a kuelekea kubadilibadili. changeless adj. ~ ableness; changeability n ugeuzo, ugeukaji. changeful adj. changeling n 1 kubadilisha mtoto mzuri kwa mbaya (kwa siri). 2 (in traditional stories) mtoto mbaya/mjinga, kioja aliyebadilishwa na mwingine aliyeibiwa.