champion

(also champ) n 1 bingwa, mshindi (wa mashindano ya mbio, ngumi n.k.); shujaa. 2 mtetezi, mgombea. vt tetea, pigania, saidia, linda adj (colloq) bora, -a kwanza, -a kupita ingine. championship n ubingwa, ushindi, mashindano.