chamber

n 1 (arch) chumba (hasa cha kulala). 2 (pl) chumba cha jaji (cha kusikizia kesi); (not US) vyumba vingi katika jengo kubwa. 3 baraza la wabunge. Upper C~ n baraza la juu (seneti). 4 Ofisi za wanasheria (hasa katika mahakama). 5 chama. C~ of Commerce n chama cha wafanya biashara. 6 chemba (nafasi ndani ya mwili wa mnyama au mmea) nasal ~ chemba ya pua. chamberlain n (old use) msimamizi mkuu wa nyumba yamfalme; mtunza mali. ~ of horrors n chumba cha maonyesho ya vitu vya kuogofya. ~-maid n mhudumu wa kike (aandaliaye vyumba vya kulala hotelini). ~ -pot n chombo cha kuendea haja.