challenge

vt 1 ita kuja kushindana (katika michezo n.k.), karibisha kwenye mashindano. 2 (mil) simamisha na kudai jina. 3 (leg) pinga, kana, bisha. 4 taka sababu za kuthibitisha shauri au neno. 5 tania; toa changamoto this situation is a ~ to the government hali hii ni changamoto kwa serikali. n 1 mwito wa kuja kushindana issue a ~ ita kuja kushindana. 2 neno la kukaidi, kubishana. 3 ulizo la mlinzi (k.m. Ni nani anayekuja?). 4 kichocheo. 5 chochezi. challenger n mpinzani.