chalice

n (rel) 1 kalisi: kikombe maalum cha divai kitumiwacho wakati wa ibada ya Kikristo. ~ veil n kifuniko cha kalisi.