chalet

n 1 nyumba ndogo hasa katika milima ya Uswisi. 2 nyumba ndogo katika kambi ya kupumzikia.