chair

n 1 kiti. 2 kiti, mahali au cheo; mwenyekiti; uenyekiti address (appeal to) the ~ elekeza mazungumzo kwa mwenyekiti. take the ~ shika uenyekiti; -wa mwenyekiti. 3 nafasi na kazi ya profesa. 4 (US) electric ~ kiti cha kuua. vt 1 ongoza (mkutano). 2 chukua mtu kitikiti (agh. kwa shangwe); beba juu. ~man/ ~ person n mwenyekiti, kinara. chairmanship n uenyekiti.