chain

n 1 mnyororo; mkufu. in ~s kifungoni au utumwani. 2 mfuatano/ mfululizo/mtungo, mlolongo wa mambo, vita, matukio n.k. ~ of mountains (lakes, villages etc) safu ya milima, maziwa, vijiji n.k. 3 kipimo cha urefu wa futi 66 vt funga (kwa mnyororo). ~-gang n. kikundi cha wafungwa (waliofungwa minyororo wakifanya kazi). ~ letter n barua -mkufu: barua maalum ambayo mpokeaji huombwa kutoa nakala na kuzipeleka kwa watu wengine ambao nao hufanya vivyo hivyo. ~-mail n deraya. chain-smoker n mvutaji sigara kwa mfululizo (akizima anawasha nyingine). ~ chair stitch n mshono - mkufu. ~-stores n mtungo wa maduka (ya tajiri mmoja). ~ reaction n mlipizano/mjibizano. ~ saw n msumeno wa mnyororo.