chaff

chaff

1 n 1 kapi, kumvi, wishwa. 2 majani yaliyokatwa na kukaushwa kwa chakula cha ng'ombe, farasi n.k. 3 kitu cha bure. vt kata majani kwa ajili ya chakula cha mifugo. ~ -cutter n kikataukoka.

chaff

2 n utani; mzaha. vt tania; fanyia mzaha.