chafe

vt 1 chua, sugua (ngozi n.k. ili kupasha moto). 2 chubua, kwaruza vi (fig) ona udhia, ghadhibika, -wa na hasira ~ under insults udhika kwa sababu ya matukano. n hasira, uchungu.