certificate

n 1 hati (ya uthibitisho)/ cheti ~ of birth, marriage etc. cheti cha kuzaliwa ndoa n.k. degree ~ n shahada. vt -toa cheti/hati n.k. certificated adj iliyohitimu. certify vt,vi hakikisha, thibitisha this is to ~ that hii ni kuthibitisha kwamba. certifiable adj -a kuthibitika (agh. kwa kutoa hati) certifiable as a lunatic -a kuweza kuthibitika kuwa na wazimu. certified cheque n hundi halali he was certified insane alithibitishwa kuwa mwenda wazimu. vi (to) certify toa ushahidi kuwa kitu ni sahihi.