adj 1 -a ubongo. 2 -enye kutumia akili tu. ~ palsyn(med) ugonjwa wa kupooza. cerebellumn ubongonyuma. cerebrationn ufanyaji kazi wa ubongo, kufikiri. cerebro-spinaladj(anat) -a ubongo na uti wa mgongo. cerebro-spinal meningitis (fever)n homa ya uti wa mgongo. cerebrumn ubongombele.