n 1 kati, katikati at the ~ of the town katikati ya mji; (fig) sehemu muhimu sana. ~ of gravityn kitovu cha mvutano. 2 kituo; kitovu. health ~n kituo cha afya. 3 kiini ~ of the question kiini cha swali ~ of the fruit kiini cha tunda. 4 ~ of interest mtu anayevutia au mahali panapovutia. 5 msimamo wa kati; wale wenye msimamo wa kati (kisiasa, kidini, kifalsafa). vt 1 weka/chukua katikati; -wa katikati. 2 lenga; waza all eyes were ~d on the teacher macho yote yalimlenga mwalimu ~ one's hopes on something weka matumaini yote juu ya jambo fulani. 3 -wa katikati. centric(al)adj. centricityn(tech). ~-bitn kitoboleo, kekee. ~-fold/ ~ ceremonious spread/ ~-piecen pambo la katikati ya meza. ~ -spreadn kurasa mbili za katikati za gazeti. centraladj -a katikati; hasa karibu na katikati; (principal) -kuu; -a maana. central registryn masijala kuu. central heatingn upashaji joto katika mabomba (kutoka kituo kikuu) central committee kamati kuu. the central governmentn serikali kuu (US) kituo cha simu. centralismn mfumo wa mamlaka kutoka sehemu moja, mfumo katikati, ukatikati. centralizevt,vi leta/weka katikati; weka chini ya makao makuu. centralizationn.