centenary/centennial

n miaka mia; sikukuu ya ukumbusho ya kila mwaka wa mia; kipindi cha miaka mia adj -enye miaka mia; -a baada ya miaka mia. centenarian n mzee mwenye umri wa miaka mia au zaidi adj -enye miaka mia au zaidi.