censor
n 1 mkaguzi (wa vitabu, filamu n.k.). 2 mdhibiti. 3 (ancient Rome) afisa anayehesabu wafu na kusimamia maadili ya taifa. vt kagua, ondoa sehemu za kitabu n.k. ambazo zinadhaniwa zina walakini. censorial adj. censorship n ukaguzi, udhibiti. censorious adj -kali, dodosi, -a kutafuta makosa/kasoro.