celebrate

vt,vi 1 adhimisha, sherehekea. 2 sifu, heshimu, tukuza. 3 ainisha (misa). celebrated adj maarufu. celebrant n (rel) padri (aongozaye misa maarufu); kasisi afanyaye Ushirika Mtakatifu. Concelebrant n (mapadri) kusoma misa kwa pamoja. celebration n maadhimisho, sherehe. celebrity n. umaarufu, umashuhuri; mtu maarufu, mashuhuri.