cave

n 1 pango; shimo (kwenye mwamba/kilima). 2 tundu. vi ~ in 1 achia, poromoka; poromosha; bomoka. 2 (surrender) shindwa, salimu amri. ~-dweller n. mtu aishiye mapangoni agh wa zamani. ~ -man n mkazi wa mapangoni; mshenzi.