n 1 asili, chanzo the ~ of the fire was carelessness chanzo cha moto ule kilikuwa ni uzembe. 2 sababu there is no ~ for anxiety hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi. 3 kusudi, ajili fight in the ~ of justice pigana kwa ajili ya haki. 4 (leg) kesi, daawa. ~-listn(leg) orodha ya kesi vt sababisha. causelessadj bila sababu. causationn 1 usababisho; kusababisha. 2 wiano wa sababu. causativeadj -a kuleta, -a kufanyiza, -a kutendesha, -a kusababisha.