cattle
n (pl oxen) ng'ombe (sl). head of ~ kundi la ng'ombe. ~ cake n mashudu. ~ grid n kizuio cha ng'ombe: shimo barabarani linalofunikwa na vyuma linaloruhusu gari kupita lakini si ng'ombe. ~ trespass n kuingia kwa mifugo (kusiko halali). ~ man n mchungaji wa ng'ombe. ~ pen/~ shed n zizi, boma la ng'ombe.