catchpenny

adj 1 (derog) zuri nje tu lakini hafifu sana. 2 -lotengenezwa kwa madhumuni ya kuuza haraka bila kuweka makini.