catchment

n eneo lililo chanzo cha maji ya mto/bwawa. ~ area/basin n (of school) eneo ambamo wanafunzi wa shule moja wanatoka.