catapult

n 1 manati, panda, fyata. 2 (inancient times) mtambo wa kutupia mawe katika vita. 3 chombo cha kurushia ndege katika manowari au ndege nyingine. vt rusha ndege.