cataclysm

n 1 gharika, mafuriko ya maji. 2 maafa makubwa (badiliko la ghafla k.v. mafuriko, vita, n.k.). 3 mabadiliko ya ghafla ya mambo.