adj 1 (accidental) -a bahati, -a nasibu; -a ajali. 2 (occasional) -a nadra, -siyo -a kudumu. ~ labourern kibarua. 3 (informal) -a kawaida, -sio rasmi. ~ clothesn nguo za kawaida. ~ friendshipn urafiki wa kawaida/usio wa karibu; -liotokea bila mpango au bila kutegemewa. casualnessn.