castor

castor

1 n 1 gurudumu (la samani): gurudumu lifungwalo kwenye miguu ya samani (kiti, meza n.k.) kurahisisha mjongeo wa samani 2. kijaluba cha chupa au bati cha kuwekea sukari, chumvi, n.k.

castor

2 n 1 (bot) mbarika, nyoyo, mbono. ~ oil n mafuta ya mbarika, kastoroli. ~ bean n mbegu za mbarika, nyonyo. ~ sugar n sukari laini.