caste

n 1 (Ind.) tabaka (litokanalo na kazi, vyeo, weledi, n.k.). 2 (fig) hadhi, nafasi katika jamii. lose ~ shuka hadhi.