n pesa, fedha (noti na sarafu). hard (spot) ~n fedha taslimu. ~ sale n kuuza kwa fedha taslimu, fedha mkononi. ~ ondelivery/~ downn malipo wakati wa kupokea bidhaa. ~ discountn aheri.~ customern mnunuzi anayelipa fedha taslimu. petty ~ bookn daftari ya matumizi madogomadogo. ~ bookn daftari ya fedha taslimu. ~-deskn kaunta ya keshia. ~ flown mapato halisi.~-registern mashine ya kuhesabia fedha. ~ dispensern mashine maalumu inayotunza na kutoa fedha. vt,vi 1 lipa/pata fedha. ~ a check lipwa fedha (kwa kutoa cheki). 2 faidi; tumia kwa faida. cashiern keshia.