cascade

n 1 maporomoko (makali lakini madogo) ya maji. 2 kitu kilichopangwa katika mfululizo wa matukio. 3 kitu kitokeacho ghafula na kwa vurumai; kitu kiangukacho kwa wingi.