carve

vt 1 chonga. 2 kata nakshi. 3 piga mtai; kata nyama (iliyopikwa) mezani. ~ out bandua; gawanya katika vipande vingi; (fig) fanikiwa kwa juhudi kubwa he ~d out a career for himself in the army alifanikiwa (baada ya jitihada kubwa) kupanda cheo jeshini. carver n mchongaji; mkata nyama.