cartridge

n 1 ganda, kibweta cha risasi. ball ~ n risasi bila baruti. 2 kikuto cha filamu, ukanda (wa kunasia sauti n.k.). 3 kibweta cha wino (katika kalamu za wino). ~-belt n ukanda wa risasi.