cartoon

n 1 katuni. 2 picha ya kuchekesha. cartoonist n mchora katuni hasa ya kuigiza mambo yanayotendwa na watu. vi,vt chora picha ya kuchekesha kama kielezo. 3 filamu ya sinema ambayo wahusika wake ni picha zilizochorwa; ashiria mtu maalum katika picha ya kuchekesha.