carrot

n 1 karoti; (fig) kishawishi, kivutio. 2 (pl) nywele nyekundu; mtu mwenye nywele nyekundu. 3 rangi ya karoti. carroty adj. the stick and the ~ vitisho na hongo; tunzo au faida inayoahidiwa (na mara nyingi isiyokuwa yakini). hold out/offer a ~ to somebody shawishi kwa kutoa tunzo au kufaidika na kitu.