carriage

n 1 gari la farasi. baby ~ n (US) gari la mtoto. 2 behewa la garimoshi. 3 uchukuzi, upagazi. ~forward n gharama za usafirishaji zinazolipiwa na mpokeaji bidhaa. ~ free/paid n gharama zilizolipwa na mpelekaji bidhaa. 4 gurudumu bebaji. 5 sehemu ya mashine inayohamishika na inayoshikilia sehemu nyingine. 6 mkao wa mwili, mwendo wa kutembea. 7 ~ way n (part of road) sehemu ya barabara inayotumiwa na magari. 8 dual ~ way n njia mbili: barabara iliyogawanywa sehemu mbili (kwa tuta, majani n.k.). carriageable adj (of roads) -a kuweza kupitika kwa magari.