n zulia. (colloq)be on the ~ karipiwa, kemewa. sweep something under the ~ sukumizia kando, ficha, weka pembeni (ili kuchelewesha utekelezaji/kukwepa lawama). stair ~n zulia la ngazini. ~ sweepern kifagia zulia. vt tandaza, tanda ~ with fallen leaves tanda na majani makavu; laumu, karipia.