carol

n 1 (rel) wimbo wa Krismasi. 2 (lit) wimbo wa furaha. vi 1 imba kwa furaha. 2 imba nyimbo za Krismasi. caroller n mwimbaji wa nyimbo za namna hii.